
tanzania mitindo house
kazi mbali mbli za ubunifu wa mavazi za zidi kuwavutia watu tofati katika maeneo yote ya nchi yetu.
Hii imedhihiria kwa muonekano mkubwa wa watu wa aina mbalimbali katika mavazi ya asili ama yaliyo buniwa na kutengenezwa na mali ghafi kutoka Tanzania zikiwemo khanga,vitenge,batiki nk,
Moja wapo ya maeneo ambayo yana saidia uuzaji wa bidhaa hizi ni duka la taifa liitwalo Tanzania mitindo house.
0 comments:
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.